iqna

IQNA

Umoja wa Kiislamu
IQNA - Mkuu wa Jumuiya ya Wanazuoni wa Kiislamu nchini Lebanon Sheikh Ghazi Hunaina amesema kukabiliana wakufurishaji ni hatua ya lazima kuelekea kupatikana kwa umoja wa Waislamu.
Habari ID: 3479494    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/26

Umoja wa Kiislamu
IQNA - Rais wa Baraza la Ushauri la Mashirika ya Kiislamu ya Malaysia (MAPIM) alitoa wito kwa nchi za Kiislamu kutuma majeshi yao kukabiliana na ukatili wa utawala wa Israel huko Gaza.
Habari ID: 3479487    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/25

IQNA - Idara ya Kaburi la Hafidh, mshairi wa Kiirani wa karne ya 14, huko Shiraz liliandaa halqa za Qur'ani Tukufu mnamo Septemba 18, 2024, kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW) na Wiki ya Umoja wa Kiislamu.
Habari ID: 3479472    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/23

IQNA – Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei alikutana na wageni na waandaaji wa Kongamano la 38 la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu mjini Tehran tarehe 21 Septemba 2024.
Habari ID: 3479471    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/23

Wiki ya Umoja wa Kiislamu
IQNA - Mji mkuu wa Iran wa Tehran ni mwenyeji wa Mkutano wa 38 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu, ulioanza Alhamisi asubuhi, Septemba 19, 2024, katika Ukumbi wa Mkutano wa Kimataifa wa mji huo na limemalizika leo jion.
Habari ID: 3479465    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/21

Wiki ya Umoja wa Kiislamu
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza juu ya nafasi ya watu maalumu katika uundaji wa Umma wa Kiislamu na umoja wa ulimwengu wa Kiislamu na kubainisha kwamba, kwa kuundwa Umma wa Kiislamu, Waislamu kwa nguvu zao za ndani wanaweza kuondoa donda la saratani na khabithi la utawala wa Kizayuni kutoka Palestina na kusambaratisha ushawishi na uingiliaji wa mabavu wa Marekani katika eneo.
Habari ID: 3479460    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/21

Waungaji mkono Palestina
IQNA - Idadi kubwa ya wanazuoni wa Kiislamu na wanaharakati wamewapongeza wanawake wa Kipalestina kwa jukumu lao katika kuongeza muqawama dhidi ya utawala katili wa Israel.
Habari ID: 3479458    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/20

Wiki ya Umoja wa Kiislamu
IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, adui analeta mgawanyiko na mifarakano kati yetu na kubainisha kwamba, Waisraeli milioni 2 au 3 wanawaangamiza Waislamu, wanaua wanawake na watoto, wazee na vijana na wagonjwa, wanapiga mabomu hospitali na misikiti na sisi tumekaa tu na kutazama, kwa sababu hatuna umoja na ndio maana Israel inathubutu kufanya jinai hizi.
Habari ID: 3479453    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/19

Maulidi
IQNA – Wasimamizi wa Haram ya Imam Ridha (AS) katika mji wa Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran wamepanga vikao kadhaa vya Qur'ani Tukufu, wakibainisha kuwa zinalenga kulinda urithi wa Mtume Muhammad (SAW).
Habari ID: 3479447    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/17

Wiki ya Umoja wa Kiislamu
IQNA - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema umoja kati ya Waislamu si mbinu bali ni "kanuni ya Qur'ani," akiwataka Maulamaa kuzingatia utambulisho wa Umma wa Kiislamu.
Habari ID: 3479445    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/16

Spika wa Bunge la Iran
IQNA – Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesisitizia haja ya Waislamu kote duniani kuwa na umoja na mshikamano katika suala la Palestina.
Habari ID: 3479437    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/15

Umoja wa Waislamu
TEHRAN (IQNA) – Mufti wa zamani wa Tanzania alisisitiza haja ya Waislamu kuimarisha umoja wao ili kuweza kukabiliana na kuzima njama na njama za adui.
Habari ID: 3477692    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/06

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, baada ya madola ya kiistikbari na kibeberu kuhisi hatari kutokana na kuenea nguvu za mafundisho ya Qur'ani Tukufu, yameamua kuendesha kampeni za kukivunjia heshima Kitabu hicho Kitakatifu cha Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3477686    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/03

Wiki ya Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu amekaribisha kuanzishwa tena kwa uhusiano wa kidiplomasia kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia kama maendeleo muhimu ya ushirikiano na urafiki kati ya nchi zote za Kiislamu.
Habari ID: 3477678    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/01

Wiki ya Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, chaguo la kusalimu amri na kufanya mapatano kiudhalili halipo tena mezani na kwamba wale wanaoweka uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni ni kujitumbukiza kizazi.
Habari ID: 3477677    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/01

Wiki ya Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kongamano la 37 la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu limeanza leo jijini Tehran kwa hotuba ya Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3477676    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/01

Wiki ya Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Profesa wa chuo kikuu kutoka Syria amesema kizazi cha vijana katika ulimwengu wa Kiislamu kinakabiliwa na mtanziko wa kiutamaduni na ili kukabiliana na suala hili, kuimarisha ushirikiano na mshikamano katika ulimwengu wa Kiislamu ni muhimu.
Habari ID: 3477673    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/30

Wiki ya Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Mkuu wa Jumuiya ya Wanazuoni wa Iraq amesema, kuandaliwa kongamano la umoja wa Kiislamu kunaonyesha umakini wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3475918    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/12

Rais wa Iran
TEHRAN (IQNA) - Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia uwezo wa Umma wa Kiislamu katika ulimwengu wa sasa na kueleza kwamba, bendera iliyoinuliwa juu na Imamu Ruhullah Khomeini (RA) ni bendera ya umoja baina ya Waislamu kote duniani.
Habari ID: 3475916    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/12

Wiki ya Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Mwanazuoni mwandamizi wa Lebanon ameutaja umoja kati ya Waislamu kama msingi imara zaidi wa kulinda Uislamu kutokana na vitisho vilivyopo.
Habari ID: 3475911    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/11